top of page


SHULE ZA AWALI - KISWAHILI MEDIUM SCHOOL
Utamaduni, Elimu ya Imani, Sanaa na Michezo ,
kumwezesha mtoto Kumudu stadi za kisanii, ubunifu na Michezo. Kuthamini utamaduni wa jamii yake, imani na tunu za taifa.
Sayansi na TEHAMA
Kumwezesha mtoto kutumia vifaa vya TEHAMA kuwasiliana katika miktadha mbalimbali.
Lugha na Mawasiliano
kumwezesha mtoto kujenga umahiri wa kuwasiliana katika miktadha mbalimbali
Stadi za Awali za Maisha
kukuza stadi za awali za maisha kwa mtoto ikiwa ni pamoja na kujitegemea
Afya na Mazingira
Eneo hili linamsaidia mtoto kuuelewa mwili wake na masuala mbalimbali yanayohusu afya.
Stadi za Awali za Kihisabati
Kutumia stadi za awali za kihisabati naitamsaidia mtoto kujiamini na kukuza ujasiri utakaomsaidia katika ngazi za elimu
bottom of page