Kumwezesha mtoto kutumia vifaa vya TEHAMA kuwasiliana katika miktadha mbalimbali.
Stadi za msingi za sayansi ni kufanya majaribio sahili ya kisayansi, kuchunguza, kuwa na fikra tunduizi na kuvumbua. Aidha, eneo hili linamwezesha mtoto kutumia vifaa vya TEHAMA kuwasiliana katika miktadha mbalimbali.