top of page


Stadi za Awali za Kihisabati
Kutumia stadi za awali za kihisabati naitamsaidia mtoto kujiamini na kukuza ujasiri utakaomsaidia katika ngazi za elimu
Eneo hili linamwezesha mtoto kujiamini na kukuza ujasiri utakaomsaidia katika ngazi za elimu zinazofuata na maisha yake ya kila siku. Vilevile, litamsaidia kukuza stadi za kufikiri kimantiki, zitakazomsaidia mtoto kukuza uelewa wake na kumwezesha kufanya uamuzi sahihi. Stadi za msingi za kihisabati ni pamoja na kubaini maumbo, kulinganisha na kupima vitu, kuchambua na kupanga vitu kwa mfuatano unaolingana na kuhesabu
KITABU
MASOMO KATIKA PICHA & VIDEO

bottom of page