top of page


Afya na Mazingira
Eneo hili linamsaidia mtoto kuuelewa mwili wake na masuala mbalimbali yanayohusu afya.
Eneo hili linamsaidia mtoto kuuelewa mwili wake na masuala mbalimbali yanayohusu afya. Baadhi ya masuala muhimu katika afya na maendeleo ya kimwili ni lishe bora, usafi binafsi na kanuni mbalimbali za afya. Vilevile, kwa upande wa mazingira, eneo hili litamsaidia mtoto kuthamini, kujali na kutunza mazingira yanayomzunguka. Aidha, litamwezesha mtoto kujenga uwezo wa kutambua maeneo hatarishi na kuchukua tahadhari kwa usalama wake na wa watu wengine
Kutunza mwili
Kuthamini vyakula vya aina mbalimbali
Kutunza vyombo vya chakula
Kuchunguza vitu vilivyopo katika mazingira
Kusafisha mazingira
Kuepuka mazingira hatarishi
Kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa mbalimbali
KITABU
MASOMO KATIKA PICHA & VIDEO

bottom of page