top of page

Lugha na Mawasiliano

kumwezesha mtoto kujenga umahiri wa kuwasiliana katika miktadha mbalimbali

Eneo hili la ujifunzaji linamwezesha mtoto kujenga umahiri wa kuwasiliana katika miktadha mbalimbali kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza. Eneo hili pia humwezesha mtoto kuchangamana na wenzake, kusikiliza, kuzungumza na kupata stadi za awali za kusoma na kuandika.

  1. Kusikiliza katika miktadha mbalimbali

  2. Kuzungumza katika miktadha mbalimbali

  3. Kusoma katika hatua za awali

  4. Kuandika katika hatua za awali

  5. Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali

KITABU






MASOMO KATIKA PICHA & VIDEO

© 2024-2035 by UNIQ Talents International. Powered and secured by UNIQ Talents

  • Instagram
© Copyright
bottom of page