

DARASA LA I-VII - KISWAHILI MEDIUM SCHOOLS
Darasa la Kwanza
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la I kusoma, kuandika, kuhesabu, kutunza afya na mazingira; na kuendeleza michezo na sanaa.
Darasa la Pili
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la II kusoma, kuandika, kuhesabu, kutunza afya na mazingira; na kuendeleza michezo na sanaa.
Darasa la Tatu
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika maeneo makuu sita ya kujifunza na manufaa yake kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la III. Maeneo hayo ni: lugha, sayansi ya jamii, sayansi na teknolojia, hisabati, michezo na sanaa na masuala ya kiroho
Darasa la Nne
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika maeneo makuu sita ya kujifunza na manufaa yake kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la IV. Maeneo hayo ni: lugha, sayansi ya jamii, sayansi na teknolojia, hisabati, michezo na sanaa na masuala ya kiroho
Darasa la Tano
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika maeneo makuu sita ya kujifunza na manufaa yake kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la V. Maeneo hayo ni: lugha, sayansi ya jamii, sayansi na teknolojia, hisabati, michezo na sanaa na masuala ya kiroho
Darasa la Sita
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika maeneo makuu sita ya kujifunza na manufaa yake kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la VI. Maeneo hayo ni: lugha, sayansi ya jamii, sayansi na teknolojia, hisabati, michezo na sanaa na masuala ya kiroho
Darasa la Saba
Mtaala wa Elimu ya Msingi umejikita katika maeneo makuu sita ya kujifunza na manufaa yake kumwezesha mwanafunzi wa Darasa la VII. Maeneo hayo ni: lugha, sayansi ya jamii, sayansi na teknolojia, hisabati, michezo na sanaa na masuala ya kiroho